NAMNA YA KUTIBU UGONJWA WA NDUI YA KUKU KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI ...
NAMNA YA KUTIBU UGONJWA WA NDUI YA KUKU KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI ... Jinsi ya kutibu ndui kwa kuku kwanza kabisa nunua otc 20% pamoja na vitamin, wachanganyie kuku wako kwenye maji ili kuwaepusha na magonjwa nyemelezi kwa sababu wanapokua wanashambuliwa na ugonjwa wa ndui ugonjwa huu una sifa ya kupunguza sana kinga ya mwili. Wachanje kuku wako hasa vifarnga wanapokua wamefikia umri wa siku 56yani wiki nane (8), na kama usipowachanja kuku wako na kwa bahati mbaya ugonjwa huu ukaingia bandani kwako basi la kufanya ni hili hapa.
Tiba Na Jinsi Ya Kutibu Ugonjwa Wa Ndui Kwa Kuku | Ufugaji
Tiba Na Jinsi Ya Kutibu Ugonjwa Wa Ndui Kwa Kuku | Ufugaji Jinsi ya kutibu ndui ya kuku ili wapone kwa haraka zaidi ndui ya kuku ni ugonjwa ambao huwapata kuku wa umli wowote kama wasipopewa chanjo kipindi wakiwa vif. Kutumia kuku watumie maji haya kwa kunywa siku zote. hii inafanya kazi ya kuwakinga kuku dhidi ya magonjwa mbalimbali. badilisha maji hayo kabla hayajaanza kuchacha na kuwatengenezea dawa nyingine. hakikisha chombo kinasafishwa vizuri kabla ya kuwawekea dawa nyingine. Je, ndui kwa kuku hutibika? hakuna tiba ya moja kwa moja ya kuua virusi vya ndui, lakini tiba za asili na dawa za kusaidia huimarisha kinga na kupunguza makali ya ugonjwa. Ugonjwa wa ndui ni rahisi sana kuutambua kwa kupata historia ya ugonjwa, uwepo wa vidona/vinundu vya ugonjwa na wakatim fulani darubini inaweza kutumika kuangalia nyama za maeneo yenye ugonjwa na unaweza kuwakuza virusi kwenye chembe hai au mayai ya kuku.
Tiba Na Jinsi Ya Kutibu Ugonjwa Wa Ndui Kwa Kuku | Ufugaji
Tiba Na Jinsi Ya Kutibu Ugonjwa Wa Ndui Kwa Kuku | Ufugaji Je, ndui kwa kuku hutibika? hakuna tiba ya moja kwa moja ya kuua virusi vya ndui, lakini tiba za asili na dawa za kusaidia huimarisha kinga na kupunguza makali ya ugonjwa. Ugonjwa wa ndui ni rahisi sana kuutambua kwa kupata historia ya ugonjwa, uwepo wa vidona/vinundu vya ugonjwa na wakatim fulani darubini inaweza kutumika kuangalia nyama za maeneo yenye ugonjwa na unaweza kuwakuza virusi kwenye chembe hai au mayai ya kuku. Habari ndugu mfugaji, leo ninakuletea makala hii ya jinsi ya kutibu kuku wako ugonjwa wa ndui kwa kutumia dawa za asili, ugonjwa wa ndui ni ugonjwa unaoenezwa kwa virusi. Wape chanjo kuku wako hasa vifaranga wanapokua wamefikia umri wa siku 56 yani wiki nane (8), na kama usipo wachanja kuku wako na kwa bahati mbaya ugonjwa huu ukaingia bandani kwako basi la kufanya ni hili hapa. Magonjwa ya kuku wa kienyeji na tiba za asili. ni video ambayo inaelezea kwa kina ugonjwa wa ndui na jinsi ya kutibu kwa kutumia dawa za asili. tazama vide. Uonjwa wa ndui utaona kuku wako wamepata mapele kwenye kichwa yenye rangi ya kahawia, mapele hayo yanaweza kuziba mpaka macho kufanya kuku wako wasione kabisa na kusababisha kuku wako wakashindwa kula hivyo wakadhoofika kabisa na hatimaye kufa.

TIBA YA ASILI YA UGONJWA WA NDUI KWA KUKU
TIBA YA ASILI YA UGONJWA WA NDUI KWA KUKU
Related image with namna ya kutibu ugonjwa wa ndui ya kuku kwa kutumia dawa za asili
Related image with namna ya kutibu ugonjwa wa ndui ya kuku kwa kutumia dawa za asili
About "Namna Ya Kutibu Ugonjwa Wa Ndui Ya Kuku Kwa Kutumia Dawa Za Asili"
Comments are closed.